Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Kiwanja kipo Mvuti barabarani umbali wa 20km ukitokea Mbagala junction kuelekea Mbande. Ukubwa: 22,850m² Idadi ya VIWANJA 12, vilivyopimwa na vina Hati. Mbele ni main road Kuna hati ya petrol station(plot no. 12) na Commercial (plot no. 11). Span ya almost 100 meters on main road. Plot no. 10-3 ni hati za Residencial Plot No.1&2 Commercial Residencial Ko...
Kiwanja kinauzwa Madale mivumoni center Umbali wa km 1 kutoka barabara kuu ya lami(goba to madale) Kiwanja kina hati ya mauziano Huduma zote za jamii zimefika Ukubwa wa kiwanja ni sqm 593 Bei ya kiwanja milion 30 Karibu
????KIBAHA - KWA MFIPA???? —SURVEYED PLOTS—- ????UMBALI WA MITA 500 TU KUTOKA BARA BARA YA LAMI ????VIWANJA VIPI MBELE KIDOGO YA CHUO CHA UONGOZI KIBAHA ????GOOD Exceptional Neighborhood ????HUDUMA ZOTE ZA JAMII KAMA UMEME NA MAJI ZIMEFIKA MPAKA VILIPO VIWANJA NA TAYARI WATU WAMESHAANZA KUJENGA???? BEI NI KWA SQM 1 sqm = 15,000/= KWA MAELEZO ZAIDI FIKA KATIK...
????KIGAMBONI - CHEKA???? —SURVEYED PLOTS—- ????UMBALI WA KM 1 TU KUTOKA BARA BARA YA LAMI ????VERY Exceptional Neighborhood ????HUDUMA ZOTE ZA JAMII KAMA UMEME NA MAJI ZIMEFIKA MPAKA VILIPO VIWANJA NA TAYARI WATU WAMESHAANZA KUJENGA???? BEI NI KWA SQM 1 sqm = 18,000/= ????AINA YA MALIPO NI KWA MKUPUO(cash) AU KWA MKOPO(installment) KWA AWAMU TATU TU???? ???...
Mashamba yanauzwa morogoro Mashamba yapo ya kawaida na yapo ya mtoni.Mashamba ni mazuri hardhi nzuri haiitaji mbolea..zipo heka nyingi tunauza heka moja kwa Bei ya 800,000
Viwanja kigamboni, viwanja vya mradi vimepimwa. Ukubwa ni kuanzia sam 400, vipo vya ukubwa wa kila namna Bei zipo za sh 10,000, 12,000 na 15,000 kwa SQM. Viwanja vipo jirani na viwanda vikubwa vya afyya na vingine.
• Direction: Kwa Mfipa, Sagale Magengeni km 8 kutoka Morogoro Road • Land Area: - Land No. 54 Sqm 9,455 - Land No. 53 Sqm 6,853 - Land (skwata) Sqm 2,000+ TOTAL AREA: Sqm 18,308 (ekari 4.5) • Document: Ofa (hati iko kwenye mchakato, itatoka muda wowote) • Price: TZS 7,000/sqm AU milioni 128 kwa maeneo yote matatu NB: Unaweza kununua eneo 1 au maeneo yote . ✓...