Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Shamba linauzwa lipo bagamoyo kiwangwa zipo ekari 300 Bei ni laki sita kwa ekari moja maongezi yapo Shamba ni zuri ..mazao Kama nanaso,mahindi ,mihongo n.k yanastawi vizuri kabisa shamba lipo kilometer tano kutoka barabara ya rami
eneo linauzwa Kerege Bagamoyo, lina ukuwa wa mita za mraba 5000, linafikika kwa gari, lina maji na umeme. eneo lina banda la kuishi la vyumba viwili na mabanda mawili ya mifugo. Mawasiliano 0747144763
SHAMBA LA KULIMA NANASI NK LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI lipo umbali wa kilometa 2.na nusu kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekali moja inauzwa shilingi milioni 4 shamba ni zuri sana lipo njiani kabisa
#0753288167 Ardhi inapanda thamani kila siku.Shamba linauzwa Mil 5 kwa ekari 1. Jumla zipo ekari 7. Ukichukua zaidi ya 1 kuna punguzo! Eneo: Fukayosi, Bagamoyo! Mita 800 toka Barabara ya lami! Una ndoto ya kufuga/ kulima! Eneo linakufaa sana. Karibu! Follow @kirikarealestate_agent Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0763531088/ Whatsapp #viwanja #fukayosi #plotfor...
The Plot 177 is located 6km from the new bagamoyo proposed port and 2km form the main road. Clear road to the site All facilities are availlable water and electricity
Shamba lipo Kiwangwa eneo linaloitwa Bago katika kijiji cha Msinune. Lina ukubwa wa takriban eka mbili (02) kasoro hivi. Jirani n shamba ipo Shule ya Msingi Msinune. Barabara ya vumbi inafika hadi shambani na gari zinafika kiurahisi. Umbali kutoka shambani hadi barabara ya lami inayotoka Bagamoyo kuelekea Msata ni kama Kilometa 1 hivi. Linafaa kwa kilimo cha...