Beach plot for sale
TZS 60,000,000
Beach plot for sale
Mbeya
Eneo lipo KM 16 tu toka Kyela mjini. Nyumba zote mbili zina umeme wa kujitegemea, barabara ni nzuri inapitika muda wote. Eneo Ekali mbili. Kuna miti ya kivuli ufukweni na miti ya mbao (mitiki) nyuma ya nyumba hizo.
TZS 60,000,000