Toyota Prado J120 Upgraded
TZS 45,000,000
Toyota Prado J120 Upgraded
Dar es Salaam
Gari in engine 2TR, haijawahi kuguswa Number DNK Ipo kwenye condition nzuri kabisa, ilikuwa inatumika na mwanamke kwa matumizi ya nyumbani tu. Ndani ipo vizuri sana smart radio, rim sport from America sio mchina, ina upgrade ya CNG... Vizuri kuiona kuliko mameno mengi Gari haina udalali
TZS 45,000,000