John Charles's profile

John Charles John Charles's profile
3 active listings
Peronal seller
Last online 4 months ago
Registered for 4 months

Latest Products

John Charles John Charles 4 months
Viwanja vinauzwa Gezauloke Kigamboni
TZS 8,000,000
Viwanja vinauzwa Gezauloke Kigamboni
Dar es Salaam
Tuna miradi mipya ya vowanja Kigamboni simu 0659962452 Gezaulole Mita 20kwa15 bei milioni 8 Dege mita 20kwa15 bei milioni 7 Cheka mita 17kwa16 milioni 4 Cheka mita 25kwa20 bei milioni 10 Miradi yote imefikia na huduma kama maji umeme, shule n.k. Kwa maelezo zaidi tupogie simu 0659962452 au fika ofisini kwetu Kibada Kigamboni
Land Kigamboni
TZS 8,000,000
John Charles John Charles 4 months
Viwanja vilivyopimwa
TZS 9,000,000
Viwanja vilivyopimwa
Dar es Salaam
TUNAKOPESHA VIWANJA CHEKA KIGAMBONI SIMU 0659962452 Viwanja vimepimwa na vina ramani ya upimwaji. Ni tambalale, kuna umeme, maji, sehemu tulivu kwa washua barabara zake ni kubwa. Ukubwa Mita 25kwa20, mita30kwa20,mita 30kwa30 nakuendelea. Bei kuanzia milioni 9.
Land Kigambon
TZS 9,000,000
John Charles John Charles 4 months
Eneo la hekari 3 linauzwa Kigamboni
TZS 8,000,000
Eneo la hekari 3 linauzwa Kigamboni
Dar es Salaam
ENEO LA HEKARI 3 LINAUZWA KIGAMBONI Ni tambalale, majirani wamejenga kisasa, kuna umeme, maji shule zahanati na soko. Eneo linafaa kwa makazi na nyumba za biashara kujenga nyumba za kupangisha na maflemu ya biashara. Enelo lipo umbali wa nusu kilometa kutoka kituo cha basi. KILA HEKARI BEI MILIONI 8
Land Kigamboni
TZS 8,000,000
  • 1
Are you a professional seller? Create an account