Wiwanja Vinauzwa, SQM 4,000 Bagamoyo, Kerege
TZS 65,000,000
Wiwanja Vinauzwa, SQM 4,000 Bagamoyo, Kerege
Pwani
Viwanja viwili vinauzwa, viko Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Bagamoyo, Kata ya Kerege, Mtaa wa Nyakahamba. Umbali wa takribani 2km kutoka barabara kuu ya Bagamoyo. Vyote vina hati miliki halali na vina ukubwa wa SQM 4,000(Kwa ujumla)!
TZS 65,000,000