Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
🎉 UNATAFUTA MASHINE BORA YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA? 🎉 Usitafute tena! Tunakuletea Modern Incubators zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu 💯 🔹 ZINAPATIKANA KWA UWEZO TOFAUTI WA MAYAI: 🥚 Mayai 30 – Tsh 200,000 🥚 Mayai 42 – Tsh 270,000 🥚 Mayai 60 – Tsh 350,000 🥚 Mayai 75 – Tsh 400,000 🥚 Mayai 120 – Tsh 450,000 🥚 Mayai 140 – Tsh 550,000 🛠️ SIFA KALI ZA MASHIN...