La mtu mmoja ni sh 150,000 La watu wawili ni sh 250,000 La watu watatu ni sh 300,000 Ukitaka la wawili na la mmoja ni sh 300,000 Ukitaka la watatu na la mmoja ni sh 360,000 Ukitaka la watatu na wawili ni sh 400,000 Yote seti nzima ni 550,000
Nyumba inauzwa ipo chanika Ina vyumba vinne vyote ni master Ina sebule,jiko na dining pamoja na Stoo Kuna nyumba ya uani ya kupangisha ya vyumba vitatu, kimoja kina sebule,Stoo mbili za uani Kuna eneo la kutosha la nusu eka Nyumba Ina tiles Namba zipo hapo....wahi na bei Yako..... Mazungumzo yapo