Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
SHAMBA LA KILIMO CHA MPUNGA LINAUZWA MAGU -ukubwa wa shamba ni heka kumi ( 10 ) -shamba lipo karibu na chanzo cha maji -shamba lipo umbali wa km 69 kutoka mwanza mjini -bei Milioni 20 kwa shamba lote ???? 0743220097