La mtu mmoja ni sh 150,000 La watu wawili ni sh 250,000 La watu watatu ni sh 300,000 Ukitaka la wawili na la mmoja ni sh 300,000 Ukitaka la watatu na la mmoja ni sh 360,000 Ukitaka la watatu na wawili ni sh 400,000 Yote seti nzima ni 550,000
Eneo lipo Salasala. Ni eneo lenye ukubwa wa SQM 2300, Lina nyumba ya kuishi yenye vyumba vitatu, sebule na choo cha ndani. Maji ya dawasa, umeme wa tanesco na backup ya umeme wa sola