Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
DBF-900 INK PRINTING CONTINUOUS SEALER. Ni mashine inayotumika kufungia mifuko ya plastic aina zote. Mashine zote zina feni kwa ajili ya kupooza wakati ikifanya kazi. SPECIFICATIONS: ▪︎RANGE OF TEMP: 0-300°C ▪︎POWER: 0.6KW ▪︎SEALING WIDTH: 6-12mm ▪︎SEALING SPEED: 1-12m/min ▪︎CONVEYER BELT WIDTH: 12mm Tunazo sealer zenye uwezo wa kupiga chapa katika mifuko. D...