Nauza shamba renye ukubwa wa ekari 200 kira ekari moja inauzwa raki mbiri na ishirin 220000 shamba hiri ripo kata ya mbwewe kijiji cha mpaji eneo nizuri sana gari njia safi muda wote unapita iwe kiangaz iwe masika
Read more
Description
Nauza shamba renye ukubwa wa ekari 200 kira ekari moja inauzwa raki mbiri na ishirin 220000 shamba hiri ripo kata ya mbwewe kijiji cha mpaji eneo nizuri sana gari njia safi muda wote unapita iwe kiangaz iwe masika
Selling a complete, brand new usb condenser microphone kit this is a perfect all in one solution for anyone looking to get high quality for their broadcast, livestreams, recording studio stage performance The package includes 1.High quality condenser microphone 2.Adjustable microphone stand 3.Shock mount 4.Pop filter The microphone is plug and play make it v...
Nauza shamba la eka 350 Kiwangwa Shamba la eka 350 linauzwa kwakila eka 1 laki 250,000/= shamba linaumbali wa kilometa 10 kutoka barabara kuu ya lami Shamba hili lipo kata ya kiwangwa kijiji cha bago wilaya ya bagamoyo Kwa mawasiliano zaidi piga no.. 0659628665/=
Shamba linauzwa msata kutoka barabara kuu kuingia shamban mita 350 kira ekari moja inauzwa mirioni 4000000 kwa maelezo zaid 0656137213 ukubwa wa eneo ekari 6 tu
Mashamba mazuri ardhi nzuri yenye rutuba inakubali mazao yote zipo heka 300(300acres) Kila heka ni shilingi laki sita(600000) Yapo bagamoyo kiwangwa Kutoka barabarani Hadi shamba lilipo ni kilometer sita
Shamba linauzwa mbwewe pwani kutoka barabara kuu kuingia shamban kirometa 3 kira ekar moja inauzwa raki mbiri ukubwa wa eneo ekari 100 kwa mawasiriano zaidi 0656137213