Egg Cooker (KODTEC Brand), ni nzuri na Imara. Ina uwezo wa kutengeneza mayai ya kuchemsha kumi na nne (14) kwa pamoja, Saba chini na mengine Saba juu. Ina 230V-50Hz na 350W. Karibu sana. 0627050432 - Calls.
Blender Imara zaidi, Yenye majagi mawili. Jagi zuri kutengenezea Juice kwa ujazo wa 1.5L, Jagi la 50 grams kwa ajili ya Grinding. Ni rahisi kutenganisha kwa ajili ya kusafisha, lina 300W, 230V 50Hz, Net weight 1.28kgs. "BEYPOA SMART ELECTRONICS"