Gharama inaanzia 110,000 mpaka 400,000 Unapata Dakika, sms, Unlimited Internet kwa mwezi mzima, na unapata 10 gb kwa watu wako kuanzia 1 - 14 kutokana na kifurushi utakachoweka. Usikose hii fursa.
Nauza shamba la umwagiliaji hekari 50 shamba lipo kijiji cha Wami Mkoko kata ya Msata lipo umbali wa kilometa 15 kutoka lami mpaka shamba Gar linafika mpaka Shamba bei kwa kila Eka moja ni 1.2M milion moja na laki mbili