Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Speaker Ndonga (Bass Speaker) Used / Mtumba Original 💰 Bei: 350,000/= kwa piece 📍 Mahali: Dar es Salaam, Tanzania Maelezo: Speaker ndonga ya bass, original (mtumba)AG Watts: 2000W Ohms: 8Ω Coil size: 125mm Hali nzuri, hazijachoka Bass nzito na safi, inafaa kazi za nguvu 📦 Idadi: Zipo piece 4 ✅ Inafaa kwa disco sound, events, kanisa, na biashara ya sound 📞 Wa...
Dr teals moisturizing Bath & Body oil available Tsh 35,000 -Body oil nzuri saana unaweza kuitumia ukiwa unaoga unaweka few drops kwenye maji ambayo unaoga hi husaidia saana ngozi kuwa na moisture unapotoka kuoga au ukaipaka baada ya kuoga wakati ngozi ikiwa na unyevu! Ina penetrate kwenye ngozi haraka na kuacha ngozi ikiwa moisturized vizuri saana! -ukit...