Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
Perfect combo???????????? Hii ni combo pambe kabisa ????, inakuwa bangle na hereni zake , zote hizi ni stainless steel haipauki, pia unaweza peleka kam zawadi kwa rafiki wa kike , mama, dada, auntie. Jumla 15000/= kuanzia pc 3 Rejareja 18,000/= Tunapatikana Dar es salaam mbezi mwisho Delivery tunafanya Dar na mikoani tunatuma Kwa uaminifu Call/WhatsApp #0746...
EPSON L3110 Up to A4 Printing Colour Printing Black & White Can be used for; 1. Stationery 2. Photo studio (Kuprint picha) 3. Office uses 4. Home uses Imetumika kidogo sana/Clean as new Bado Ina wino wake wa kiwandani haijawahi wekewa wino wa Kununua madukani Comes fully boxed with CD, USB & Power Cables. Only at 350k Fixed. Ipo Mkuyuni 0743193792
KARIBUNI TUWAHUDUMIE SHOW ZA MAGARI MBALI MBALI KAMA VILE SUBARU HARRIER OUTLANDER SPACIO IST nk AMBAYO ITALETA MUONEKANO MZURI WA GARI YAKO NA KUFANYA REDIO KUFIT VIZURI KABISA KWA SHILINGI ELFU SABINI TU(70000) UNAPATA SHOW YA GARI YAKO KARIBUNI SANA TUPO KKOO MIKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA KABISAA FOR MORE INFO CALL/WHATSAPP
Marks and spencer fruity beauty fizzy bath cubes Marks & Spencer' is a well know, quality brand in United Kingdom A plastic jar with multiple different coloured fruity scented bath cubes Put inside your bath water to smell great and relax in luxury while getting your body clean
HARRIER NEW (DVD) Cc 2360 Ya 2005/6 Engen 2AZ Full Ac Full file Color black Android Radio Clean seats Clean car in out Gari kalii sanaa Bei ML19 Location 0676 478 888
Nauza shamba Kiwangwa Bago lenye ukubwa wa heka 400 shamba linafaa kwa kilimo na ufugaji linaumbali wa kilometa 9 kutoka barabara kuu ya lami karibu sana mawasiliano zaidi Whatsapp & Call..0659628665/=