NINAUZA KIWANJA

TZS 5,000,000
Bidhaa Nyingine
1 year
Tanzania
Dar es Salaam
Ilala
392 views
SKU: 1629
Published 1 year ago by NAUZA KIWANJA
TZS 5,000,000
In Bidhaa Nyingine category
Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
392 item views
NINAUZA KIWANJA CHANGU, KINAUKUBWA WA METER 66 KWA 50 LIPO SIFA ZIFUATAZO;
1. LIKO KARIBU NA BARABARA YA LAMI IENDAYO CHANIKA UKITOKEA MBAGALA
2. KUNA MAJI
3. UMEME UPO
4. ENEO TAYARI LIMESHAJENGWA MSINGI WA VYUMBA VINNE NA CHOO
5. ENEO NI LAKWANGU MWENYEWE HAKUNA DALALI/UDALALI
6.NI ENEO ZURI SANA KARIBUNI KWA BIASHARA, NARUHUSU MALIPO HADI KWA AWAMU MBILI, KARIBU FIKA SITE UJIONEE MWENYEWE Read more

Description

NINAUZA KIWANJA CHANGU, KINAUKUBWA WA METER 66 KWA 50 LIPO SIFA ZIFUATAZO;
1. LIKO KARIBU NA BARABARA YA LAMI IENDAYO CHANIKA UKITOKEA MBAGALA
2. KUNA MAJI
3. UMEME UPO
4. ENEO TAYARI LIMESHAJENGWA MSINGI WA VYUMBA VINNE NA CHOO
5. ENEO NI LAKWANGU MWENYEWE HAKUNA DALALI/UDALALI
6.NI ENEO ZURI SANA KARIBUNI KWA BIASHARA, NARUHUSU MALIPO HADI KWA AWAMU MBILI, KARIBU FIKA SITE UJIONEE MWENYEWE

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account