Nauza shamba la umwagiliaji shamba hili linaukubwa wa ekali 50 kila ekali moja inauzwa 1.M shamba linaumbali wa kilometa 14 kutoka barabara kuu ya lami shamba linapatikana Kiwangwa Bagamoyo.cm no.0659628665/=
Nauza shamba la eka 300 Kiwangwa Shamba la eka 300 linauzwa kwakila eka 1 laki 300,000/= shamba linaumbali wa kilometa 9 kutoka barabara kuu ya lami Shamba hili lipo kata ya kiwangwa kijiji cha bago wilaya ya bagamoyo Kwa mawasiliano zaidi piga no.. 0659628665/= + 0625929692/=