Luxury Watch Case (12 Slots)

Check with seller
Other
3 months
Tanzania
Dar es Salaam
Ilala
Kariakoo
713 views
SKU: 13854
Published 3 months ago by Lukman Manjy Manjy
Check with seller
In Other category
Kariakoo, Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
713 item views
Luxury Watch Case (12 Slots)
Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee.

✅ Inabeba saa 12
✅ Muonekano wa kifahari na classy
✅ Material imara, hudumu muda mrefu
✅ Inafaa nyumbani, ofisini au kama zawadi Read more

Description

Luxury Watch Case (12 Slots)
Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee.

✅ Inabeba saa 12
✅ Muonekano wa kifahari na classy
✅ Material imara, hudumu muda mrefu
✅ Inafaa nyumbani, ofisini au kama zawadi

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account