Battery Cages

TZS 850,000
Other
7 months
Tanzania
Dar es Salaam
Ubungo
Kimara
185 views
SKU: 7177
Published 7 months ago by Alphonce Joseph Mtey
TZS 850,000
In Other category
Kimara, Ubungo, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
185 item views
Battery Cages za kuwekea kuku, na zimebaki unit tatu (3) tu. Unit moja ina vyumba 48, na kila chumba kinaweza kikaweka kuku watatu mpaka wa nne. Battery cages hizo zina system ya maji na chakula. Battery Cages hizo ni za Israel. Bei ni 850,000/- kwa unit moja yenye vyumba 48, ambavyo kila chumba kinachukua kuku watatu mpaka kuku wanne. Read more

Description

Battery Cages za kuwekea kuku, na zimebaki unit tatu (3) tu. Unit moja ina vyumba 48, na kila chumba kinaweza kikaweka kuku watatu mpaka wa nne. Battery cages hizo zina system ya maji na chakula. Battery Cages hizo ni za Israel. Bei ni 850,000/- kwa unit moja yenye vyumba 48, ambavyo kila chumba kinachukua kuku watatu mpaka kuku wanne.

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account