JBL Charge 5 Portable Bluetooth Speaker – Empire Tronix Experience premium sound and portability with the JBL Charge 5 Portable Bluetooth Speaker from Empire Tronix. Designed for music lovers and adventurers, the Charge 5 delivers crystal-clear sound, powerful bass, and all-day playtime, making it the perfect companion for any occasion. Whether you're hostin...
CONNECTION POINT TEGETA. Karibu Connection point Tegeta pale KB Bar. Utapata nyama iliyopikwa kitaalam sana -Makange -Kivuruge -Changamoto -Kukaanga. Nyama hii ina serviwa na ndizi, ugali au chapati. Jiko lipo wazi masaa 24 kila siku kasoro Jumanne tu. Kwa mawasiliano zaidi weka order kupitia 0687575770. Tunafanya na delivery kwa watu wa karibu na Tegeta.