Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
Nyumba inauzwa ipo Goba Tegeta A karibu na madale... - Ina vyumba V3, V2 master - Ukubwa wa eneo sqm 750 ina documents za mauziano ila pameshapimwa unaweza kuendelea na process ukapata hati - Bei TZS 145 million maongezi yapo Contact: 0716905737 or 0754459787
The Plot 177 is located 6km from the new bagamoyo proposed port and 2km form the main road. Clear road to the site All facilities are availlable water and electricity