Luxury Watch Case (12 Slots) Hifadhi na linda saa zako kwa umaridadi na usalama! Watch case hii ya hali ya juu ina nafasi 12, iliyotengenezwa kwa material imara na premium finish. Ndani imewekwa kifaa cha velvet laini kinacholinda saa zako dhidi ya mikwaruzo. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa saa au zawadi ya kipekee. ✅ Inabeba saa 12 ✅ Muonekano wa kifahari na ...
Gift set yenye Items 3 tu. Flask (mls 500) inatunza joto/baridi. Notebook (size A5) Peni Ni zawadi nzuri kwa wafanyakazi, rafiki, Boss au yeyote unayemthamini. Vyote vinafaa kuandika jina/Logo/maneno unayotaka.