Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea pressure cooker na Brenda Ni Moja Kati ya Vifaa ambayo vinatumia Umeme lakini vinaurahisi Sana kwa huduma za nyumbani au HOTELINI Yaani zipo chap mnoo: Tuanze na👇 PRESSURE COOKER! Ambayo inatumia takribani dk,15-20 Kuiisha MAHARAGE na huchkua dk,10 kuchemsha Maji kwa Haraka zaidi na haili Umeme Sana lakini ...
NewExchange AllowedVifaa Nyumbani na FanichaKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Tunauza samaki wakukaanga dagaa pamoja na samaki wakubanika walioandaliwa vizuri sehemu safi wasiokuwa na vumbi wala mchanga tuna tafuta wajasiriamali wenye vibanda sokoni Tanzania nzima kwa ajili ya biashara tupigies simu kwa maelezo zaidi
Nauza shamba la umwagiliaji hekari 50 shamba lipo kijiji cha Wami Mkoko kata ya Msata lipo umbali wa kilometa 15 kutoka lami mpaka shamba Gar linafika mpaka Shamba bei kwa kila Eka moja ni 1.2M milion moja na laki mbili
Nauza shamba Mwetemo lenye heka 30 lipo umbali wa kilometa 6 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa laki 500,000/= kwa mawasiliano zaidi Pga no..0659628665/=