He'll..! Jamn wateja wetu leo tumekuja na SET nzuri Sana ya Sufuria na Flampeni ambazo zinakaa sufuria4, flampeni2, na bakuli3, jaman Wapendwa hii Ni OFFER!! Basi Tusiiache ipite jaman. Wahi Sasa📩 Tuma Order yako Mapema tukufanyie FREE DELIVERY BUREE POPOTE ULIPO NCHINI TUPE LOCATION TUNAKUJA HADI MLANGONI KWAKO. karibun Sanaa wapendwa wateja wetuu,🙏🏻🙏🏻
Vifaa Nyumbani na FanichaKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SUFURIA za Umeme jamani Ambazo ndani Zinakaa Sufuria4, na bakuli2 jamni SIFA ZAKE *_Hurahisisha Mda,huchkua Mda kidogo Chakula kuwa Tayari hazina Mambo Mengi⚡-(ZINAOKOA MDA) *_Hazitumii Umeme Mwingi,huchkua Umeme kidg kuivisha Ni Chap kwa Haraka✨ *_Zinamwonekano wa kipekee Sana,Zipo kipekee yake hazifanani ...
Vifaa Nyumbani na FanichaKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Nauza shamba Kiwangwa lenye ukubwa wa heka 30 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka balabala kuu ya lami kila Eka moja inauzwa 2.5 karibu sana shamba linafikika wakati wote kwa mawasiliano zaidi Pga.no..0659628665/=
Tunauza samaki wakukaanga dagaa pamoja na samaki wakubanika walioandaliwa vizuri sehemu safi wasiokuwa na vumbi wala mchanga tuna tafuta wajasiriamali wenye vibanda sokoni Tanzania nzima kwa ajili ya biashara tupigies simu kwa maelezo zaidi
Nauza shamba la umwagiliaji hekari 50 shamba lipo kijiji cha Wami Mkoko kata ya Msata lipo umbali wa kilometa 15 kutoka lami mpaka shamba Gar linafika mpaka Shamba bei kwa kila Eka moja ni 1.2M milion moja na laki mbili
Nauza shamba Mwetemo lenye heka 30 lipo umbali wa kilometa 6 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa laki 500,000/= kwa mawasiliano zaidi Pga no..0659628665/=