Lithovit Standard ni Mbolea ya unga inayotumika katika Mazao yote, inachanganywa na maji na hutumika Kukuzia (Busta), Kutoa Maua mengi na kuzuia kudondoka,Kung'arisha na Kunenepesha Matunda,Kuzuia Matunda kuoza na pia Ina Calcium nyingi ambayo inasaidia ardhi yenye upungufu au ukosefu wa calcium