This is a smart lock special for glass doors and windows. It can be opened by password,card,fingerprint,manual keys and mobile app. It can be used for office use,homes,hotels and any where...
Nauza Smartwatch na Earbud ambayo utapata mikanda mitatu ya smartwatch,cover ya smartwatch pamoja na charger zake kwa 25k maongezi mwisho 23k. Karibuni sana wateja napatikana Ubungo Riverside kwa namba 0763145480
Mayai ya kienyeji yaliyotokana na kuku waliotunzwa kwa njia asilia, bila kutumia madawa ya kisasa. Yamejaa virutubisho vya asili, na yana kiini chenye rangi ya dhahabu, ishara ya afya bora. Yanapikwa haraka, yana ladha tamu, na ni chaguo bora kwa familia inayojali lishe