Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Eneo la beach Plort linauzwa lipo mkwaja wilaya ya pangani tanga lina ukubwa wa heka 16 eneo lina hati miliki bei ni milioni 35 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
Shamba linauzwa lipo mbwewe lina ukubwa wa heka 100 bei ni laki nne umbali kutoka barabara kuu ni kilometa 4 kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka barabara kuu ya lami eneo zuri sana linafaa kwa uwekezaji makazi kilimo ufugaji na nk kwa maelezo zaidi piga 0659628665 shamba bei ni milion mbili kwa heka moja.
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Nyumba inauzwa 300M. (Sqm600) . Mbagala kizuiyani barabarani pembeni ya Mahakama ya kuu mbagala na soko la kizuiyani. Nyumba ina Hati miliki, ina fremu 5 za biashara na Vyumba 5 vya kulala, Eneo ni kubwa, unaweza kujenga gorofa, ukumbi, apartment au fremu za kisasa mana eneo ni la biashara. Nyumba Haina Kipengele Chochote. Mawasiliano O654542366 Mmiliki, kar...
The house is located in Mwera area in Kianga, A beautiful fully furnished 4 bedroom house. The master bedroom is ensuite and the 2 bedrooms share a common toilet and bathroom. All the common areas are big and spacious with space for a home office. The area is surrounded by amazing indegenious trees which provide fresh air. The area is quiet and hence great f...
VIWANJA VIZURI SANA VIMEPIMWA VINAUZWA MADALE KWA KAWAWA MNALANI, NI KILOMITA 2 TOKA MAIN ROAD LOC :MADALE KWA KAWAWA MNALANI AREA :SQM 870 na SQM 812 PRICE : MIL 30 KWA KILA KIWANJA UMILIKI :MKATABA WA MAUZIANO. VIMEPIMWA HATI BADO CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excel...
Buy 2024 Giant TCR Advanced Pro Disc Frameset from Alan Bike Shop is 100% safe, Because purchase products at Alan Bike Shop provide 100% moneyback guarantee To purchase online visit our website : www.alanbikeshop.com Price : USD 1100 Min Order: 1 Unit Lead Time: 7 Days Express Port : Syamsuddin Noor International Airport Terms : PayPal, Bank Transfer, Wise, ...
Bidhaa za Michezo na BaiskeliJl. S. Parman No.8, Ps. Lama, Kec.Banjarmasin Tengah
1- Ipo katika eneo lenye utulivu. 2- lnavyumba 3, jiko, stoo, bafu na choo cha self na pubilc. 3- lna eneo la kuegesha magari zaidi ya manne 4- Ina miti ya matunda mbalimbali na migomba 5- Ina umbali wa kama mita 150 kutoka barabara ya lami. 6- Ina nyumba ya mfanyakazi na choo na bafu la nje. 7- Inapangishwa na mwenyenyumba hivyo hakuna mtu wa kati / wapambe...
Minja real estate & Car Broker introduce:- Stand alone house for rent in the Bahari Beach. The house has 3 bedroooms-1 master. Kitchen, sitting room, public toilet. Servant quarter. Monnthly rent fee 1.5 Mil. Kindly call/Whats app for viewing the house through +255 687 575 770 Ivan the Don. Payment terms six months in advance. Broker commision is 1.5 Mil...
Nyumba za KupangaBahari Beach Road, Kunduchi, Kawe, Kinondoni Municipal, Dar Es-Salaam, Coastal Zone, 14022, Tanzania