Hello..!! Jamn Wapendwa wateja wetu leo Tumewaletea SUFURIA za Umeme jamani Ambazo ndani Zinakaa Sufuria4, na bakuli2 jamni SIFA ZAKE *_Hurahisisha Mda,huchkua Mda kidogo Chakula kuwa Tayari hazina Mambo Mengi⚡-(ZINAOKOA MDA) *_Hazitumii Umeme Mwingi,huchkua Umeme kidg kuivisha Ni Chap kwa Haraka✨ *_Zinamwonekano wa kipekee Sana,Zipo kipekee yake hazifanani ...
Vifaa Nyumbani na FanichaKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
NYUMBA INAUZWA IPO IRINGA MJINI IPO KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA IRINGA KATA YA GANGILONGA NAKUKUHAKIKISHIA NI YA KISASA IMEJENGWA NA WA ISRAEL NA RAMANI KUTOKA ISRAEL
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Nyumba inauzwa 300M. (Sqm600) . Mbagala kizuiyani barabarani pembeni ya Mahakama ya kuu mbagala na soko la kizuiyani. Nyumba ina Hati miliki, ina fremu 5 za biashara na Vyumba 5 vya kulala, Eneo ni kubwa, unaweza kujenga gorofa, ukumbi, apartment au fremu za kisasa mana eneo ni la biashara. Nyumba Haina Kipengele Chochote. Mawasiliano O654542366 Mmiliki, kar...
Jamni ndugu wateja wetu Ile SET yetu ya sufuria4, Flampeni 3, bakuli2, vijiko na mwiko Basi imewadia jamni karibun Sana Wapendwa wateja wetu na hizi SET Zimebaki Chache mnoo wahi Sasa DM Chap 📩 Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini. karibun Sanaa YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE 🙏🏻🙏🏻
NewExchange AllowedVifaa Nyumbani na FanichaKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania
KIWANJA KINAUZWA BONYOKWA/SEGEREA KARIBU NA SHULE YA MACEDONIA. NI KIWANJA CHA TATU TOKA BARABARA YA BONYOKWA SEGEREA LOC :BONYOKWA SEGEREA AREA :SQM 660 PRICE: MIL 50 UMILIKI :HATI CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>> https://wa.me/255715090904 Insta @excela_and_properties HUDUMA ZOTE ZIPO... GHARAMA YA KUP...