Hill carpet ni used kwa muda wa miez miwili na dukani linapatkan kwa bei kuanzia 80000 making mm nitaliuza kuanzia 50000 karib mteja kwa maelewano zaidi
Read more
Description
Hill carpet ni used kwa muda wa miez miwili na dukani linapatkan kwa bei kuanzia 80000 making mm nitaliuza kuanzia 50000 karib mteja kwa maelewano zaidi
Eneo la beach Plort linauzwa lipo mkwaja wilaya ya pangani tanga lina ukubwa wa heka 16 eneo lina hati miliki bei ni milioni 35 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Nauza shamba Kiwangwa Bagamoyo lenye ukubwa wa hekari 70 lipo umbali wa kilometa 5 kutoka barabara kuu ya lami bei kwakila heka moja ni laki 500,000/= mawasiliano zaidi PGA. 0659628665/=
NYUMBA INAUZWA IPO IRINGA MJINI IPO KARIBU NA OFFICE ZA MANISPAA IRINGA KATA YA GANGILONGA NAKUKUHAKIKISHIA NI YA KISASA IMEJENGWA NA WA ISRAEL NA RAMANI KUTOKA ISRAEL