Nauza friza yangu ya Exquisite (Lita 200) ambayo nimeitumia kwa muda mrefu na bado ni nzima kabisa. Nimeamua kuiuza ili kupata nafasi zaidi ofisini kwangu kwa ajili ya maboresho. Sifa na Hali ya Friza: 1. Uwezo: Inagandisha vizuri sana na kwa haraka, inafaa sana kwa biashara ya vinywaji au vitu vya kugandisha. 2. Compressor Imara: Kama unavyoona kwenye picha...
Vifaa Nyumbani na FanichaMbezi High School/Kiramuu Hall
Jamni ndugu wateja wetu Ile SET yetu ya sufuria4, Flampeni 3, bakuli2, vijiko na mwiko Basi imewadia jamni karibun Sana Wapendwa wateja wetu na hizi SET Zimebaki Chache mnoo wahi Sasa DM Chap 📩 Tuma Order yako Tukufanyie FREE DELIVERY popote ulipo nchini. karibun Sanaa YARA HOMEWARES TUAMINI NA SISI TUKUAMINISHE 🙏🏻🙏🏻
NewExchange AllowedVifaa Nyumbani na FanichaKariakoo,Ilala,Dar,es, Salaam,Tanzania