Shamba linauzwa lipo mbwewe pwani lina ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4kutoka barabara kuu ya lami eneo ni zuri sana bei ni laki nne tu kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628662 kwa maelezo zaidi.
Shamba linauzwa lenye ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 1 kutoka barabara kuu ya lami eneo zuri sana linafaa kwa uwekezaji makazi kilimo ufugaji na nk kwa maelezo zaidi piga 0659628665 shamba bei ni milion mbili kwa heka moja.
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA KISEKE -ina vyumba vinne vya kulala( kimoja ni self contained), sebule, dinning, jiko, stoo, chumba cha kusomea na public toilet -ina makabati, jiko la njee, stoo ya njee, public toilet ya njee na water reserve tank Nyumba ya pili (2) kutoka barabara ya lami Iko nyumba moja ndani ya fensi
NYUMBA INAUZWA,MKOA WA PWANI-MAILI MOJA, ENEO LA MKOANI.(OFISI YA MKUU WA MKOA) IPO KARIBU NA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII,(HOSPITALI YA WILAYA, YA MKOANI, BENKI ZOTE NA USAFIRI MWENDOKASI UMEFIKA MAILI MOJA LINAFAA KWA KUFUNGUA OFISI ZA MICROFINANCES, LODGE, DISPENSARY, NGOS. AU NYUMBA ZA KUPANGA NK KARIBUNI WOTE HATA DALALI UNARUSIWA. BEI NI MILIONI 170 MAELEWAN...