Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
????️ KITANDA CHA CHUMA + GODORO Unatafuta usingizi wa starehe na wa kudumu? Tunakuletea kitanda kipya cha chuma imara chenye godoro laini – tayari kwa matumizi! ???? Mambo ya Muhimu: ✅ Chuma cheusi imara (strong metal frame) ✅ Godoro – starehe ya hali ya juu ✅ Ubunifu wa kisasa, mzuri kwa vyumba vya kulala ✅ Uwezo wa kubeba uzito mkubwa ✅ Rahisi kubeba ????...