Nauza shamba Kiwangwa Bagamoyo lenye ukubwa wa hekari 70 lipo umbali wa kilometa 5 kutoka barabara kuu ya lami bei kwakila heka moja ni laki 500,000/= mawasiliano zaidi PGA. 0659628665/=
Shamba linauzwa lipo mbwewe pwani lina ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4kutoka barabara kuu ya lami eneo ni zuri sana bei ni laki nne tu kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628662 kwa maelezo zaidi.