Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Shamba linauzwa lipo mbwewe pwani lina ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4kutoka barabara kuu ya lami eneo ni zuri sana bei ni laki nne tu kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628662 kwa maelezo zaidi.
This is a Belgium made BunkBed which can withstand around 80kgs of human weight on each bed.....Selling it because my children have already grownup and it has no nails but can be assembled and dismantled with allene keys and very handy to carry with you wherever you go....Serious buyers can call me on 0743020001.....Price is negotiable
Vifaa Nyumbani na FanichaMshihiri Street, Morogoro Road, City Center
Shamba linauzwa Kiwangwa masuguru shamba lina hati na lina ukubwa 10 pia shamba limegusa barabara kuu ya lami Bagamoyo to msata road bei ni milioni 15 kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628665 kwa maelezo zaidi
TUNAUZA FURNITURE AINA ZOTE KWA BEI NAFUU SANA KITANDA, KABATI MILANGO MITATU NA MIWILI, BED SOFA NA MBAO, SHOE CASE, SHIE RANK KITCHEN CABINET COFFEE TABLE,BEDSIDE DINNING TABLE 0766537765
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami bei ni milioni 30 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Piki piki used inauzwa.ipo kwenye good condition.haijawah beba abiria na pia imefanyiwa service kila wiki.Karibu kariakoo uje kuiona.haijawah funguliwa Engine.Bei ya Ofa ni 1,050,000Tshs
NYUMBA INAUZWA NA BANK MBEZI MSAKUZI. IKO MITA 500 KUTOKA MBEZI TO MSAKUZI ROAD LOC : MBEZI MSAKUZI UKUBWA : SQMT 400 PRICE : MIL 40. UMILIKI : MKATABA WA SERIKALI YA MTAA. SIFA:- -3 BEARD ROOM 1 SELF - SITTING ROOM - DINING ROOM - JIKO / STORE - PUBLIC TOILET -SERVANT QUATER YA VYUMBA VIWILI CONT. CALL Whatsapp &sms +255715090904 kwenda whatsap moja kwa...