Bed sofa nzuri na imara sana Free delivery kwa wateja wa karibu Mteja utalipia bidhaa baada ya kupokea mzigo wako Uaminifu ndio silaaha yetu katika kazi
Eneo la beach Plort linauzwa lipo mkwaja wilaya ya pangani tanga lina ukubwa wa heka 16 eneo lina hati miliki bei ni milioni 35 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
Nyumba nzuri inauzwa Iko Mtaa wa Amani. mpiji Magie kituo Cha Daladala kinaitwa Machimbo Ina vyumba 3 Kwa ndani 1 Master viwili kawaida. jiko, Dinning na Sitting room na Public Toilet Nje Ina vitu vifuatavyo Vyumba vya kulala 2 Chumba 1 cha ofisi Frame 1 ya biashara Parking ya kutosha magari zaidi ya 5 Mabanda ya kufugia kuku zaidi ya 1000
Shamba linauzwa Kiwangwa masuguru shamba lina hati na lina ukubwa 10 pia shamba limegusa barabara kuu ya lami Bagamoyo to msata road bei ni milioni 15 kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628665 kwa maelezo zaidi
Shamba linauzwa lipo mbwewe lina ukubwa wa heka 100 bei ni laki nne umbali kutoka barabara kuu ni kilometa 4 kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665