TUNAUZA FURNITURE AINA ZOTE KWA BEI NAFUU SANA KITANDA, KABATI MILANGO MITATU NA MIWILI, BED SOFA NA MBAO, SHOE CASE, SHIE RANK KITCHEN CABINET COFFEE TABLE,BEDSIDE DINNING TABLE 0766537765
Nauza mashine ya barafu 120 kwa masaa 4 Tu Mashine inatumia umeme wa 5000 kwa barafu 120 hadi 150 Unauwezo wa kuuza barafu 250 hadi 300 Mashine hii pia ina makopo yake ya kugandisha barafu za Tofali.makopo 40 total Mashine wa biashara nzuri na inakupa faida kwa haraka. Wahi tuwahi mashine naiuza bei ya kutupa.
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 1 bei ni million 40 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
Wahi chapu mzigo umeshuka bei maboss mtungi wa gas na regulator yake ni high pressure vyote bado vipya kabisa gas nimetumia siku 1 tu bado ina gas nipe 85,000 napatikana Magomeni Mawasiliano 0683106466 au 0750550828
Eneo la beach Plort linauzwa lipo mkwaja wilaya ya pangani tanga lina ukubwa wa heka 16 eneo lina hati miliki bei ni milioni 35 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665