"RAI YA JENERALI" ni kitabu cha makala za mzee Jenerali Ulimwengu. Hiki kitabu ni juzuu ya tatu; kina makala zote za mwaka 1996, zilizoandikwa na Jenerali Ulimwengu.
Printer hii haina kasolo yoyote ile, ipo Mlole Kigoma, ukiihitaji unaruhusiwa kuja kuiona na kuikagua ili ujiridhishe kabla haujailipia. Karibu Sana...