Shamba hekari 4.5 Pongwe Tanga,
TZS 30,000,000
Shamba hekari 4.5 Pongwe Tanga,
Tanga
Shamba linauzwa lipo pongwe ni hekari 4.5 unaweza kata viwanja ukauza na wapimaji wameshafika ni wewe tu,shambani gari Inafika,lina nyumba yakuishi wafanyakazi ya vyumba 3 vyakulala ya bati, mazao kuna miembe, nazi, Michungwa, chenza, mihogo, mbaazi, nanasi, viazi vituamu Na katani. Mawasiliano WhatsApp +255 718 549 440 Simu kupiga +255 719 416 800 Email upe...
TZS 30,000,000