Unatafuta projector ya picha safi kwa office, movie night au ibada?
Hii Epson 3LCD WXGA iko kwenye hali nzuri sana, inafanya kazi vizuri bila shida.
🔹 Picha ni nzuri (HD quality)
🔹 Ina HDMI, USB, na AV ports
🔹 Inatumia remote (ikiwa unayo)
🔹 Inafaa kwa presentation, sinema au shule
💰