Unatafuta projector ya picha safi kwa office, movie night au ibada? Hii Epson 3LCD WXGA iko kwenye hali nzuri sana, inafanya kazi vizuri bila shida. 🔹 Picha ni nzuri (HD quality) 🔹 Ina HDMI, USB, na AV ports 🔹 Inatumia remote (ikiwa unayo) 🔹 Inafaa kwa presentation, sinema au shule 💰
Router Zenye Speed ya Moto! 🔥 Umechoka na mtandao unaokatika kila mara? Tunakuletea router bora za Yas zinazokupa connection ya uhakika — kwa nyumba, ofisi au biashara yako. ✅ Internet yenye speed kali ✅ Rahisi kuunganisha (plug & play) ✅ Unaletewa hadi ulipo (Dar es Salaam & maeneo jirani) ✅ Support ya haraka ukihitaji msaada Usihangaike tena na buf...