Unatafuta projector ya picha safi kwa office, movie night au ibada? Hii Epson 3LCD WXGA iko kwenye hali nzuri sana, inafanya kazi vizuri bila shida. 🔹 Picha ni nzuri (HD quality) 🔹 Ina HDMI, USB, na AV ports 🔹 Inatumia remote (ikiwa unayo) 🔹 Inafaa kwa presentation, sinema au shule 💰