EQ ya kitaalamu (professional) kutoka Behringer, model FBQ3102. Ina FBQ feedback detection system kwa kudhibiti mirindimo. Sauti safi, stable na rahisi kuset. Bei: 250,000/= Mahali: Dar es Salaam Simu: 0713533662
Kifaa hiki huwezesha cctv camera zako ziendelee ku rekodi matukio hata kama umeme umekatika. Umeme ukikatika automatically kifaa hiki kitajiwasha na hata umeme ukirudi basi automatically kifaa hiki kitajizima ili umeme uendelee kufanya kazi.
Kitasa hiki kinatumika katika milango ya mageti na chuma...kinafunguka kwa njia ya Password,card,app yake ktk simu,Funguo au Fingerprint. Utakipata kwetu GORDON TECHNOLOGY. Tunauza na kufunga vitasa hivi nchi nzima(Tanzania). Wasiliana Nasi.
Iphone X 64GB FaceID????????♂️ TrueTone????????♂️ Camera ???? Simu ni sawa na mpya haina mpasuko wala scratch yoyote ile naiuza kwa vile nashida na ada.