TEDIVINA
Check with seller
TEDIVINA
Dar es Salaam
Tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu, (constipation) huweza kumpata mtu yeyote. Kuna watu wanaopata choo mara tatu kwa siku, wengine hupata mara chache kwa wiki. Kwa wale wanaofika siku tatu bila kupata choo huchukuliwa ni muda mrefu sana hivyo wako katika hatari. Kuna baadhi ya mambo ambayo huchangia kukosa choo kwa muda mrefu/choo kigumu, na hivi ni baadhi...
Check with seller