Kifaa hiki huwezesha cctv camera zako ziendelee ku rekodi matukio hata kama umeme umekatika. Umeme ukikatika automatically kifaa hiki kitajiwasha na hata umeme ukirudi basi automatically kifaa hiki kitajizima ili umeme uendelee kufanya kazi.
Focusrite scarlett 2i2, 3rd generation. Brand new kwenye package yake kutoka focusrite wenyewe. Inakuja na software bundle na discount coupon kutoka kampuni mbali mbali za vifaa vya muziki. Niliagiza kutoka UK wakanitumia unit mbili. Bahati inaweza kuwa yako chukua hii nakupa bei kama zawadi.
Hii ni cream isiyochubua hata kidogo inafaa kwa wanaume na wanawake inaondoa weusi uliotokana na jua pia inafanya ngozi yako kuwa nyororo na muonekano mzuri,kwa wale pia ambao walitumia mikorogo na ngozi ikaharibika hii ndio solution ya tatzo lako