TRí E2 ni bajaji ya umeme ya kisasa, iliyotengenezwa kwa ajili ya matumizi ya kila siku ya biashara na usafirishaji. Haina matumizi ya mafuta – unachaji kwa 3,000 TZS na inakupeleka hadi 100 km kwa chaji moja. Sifa kuu: Umeme 100% Betri ya 8 kWh – uwezo wa kwenda zaidi ya 100 km kwa chaji moja Gharama ndogo ya uendeshaji – kuchaji ni 3,000 TZS pekee Huduma y...