DIGITAL QURAN PEN

TZS 80,000
Electroniki
1 year
Tanzania
Dar es Salaam
Temeke
00100 - Dar Es Salam
495 views
SKU: 3040
Published 1 year ago by Absaid yusuf
TZS 80,000
In Electroniki category
Dar Es Salam, 00100 Temeke, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
495 item views
JIPATIE MSAHAFU HUU WA KALAMU UNAOWEZA KUKUSAIDIA WEWE NA WATOTO NYUMBANI KWAKO KUJUA NA KUSOMA QURAN BILA MATATIZO YOYOTE.

UNAPOGUSISHA KALAMU INAUWEZO WA KUSOMA AYA BAADA AYA ,HERUFI NA HERUFI VILEVILE KUTAFSIRI KWA LUGHA ZISIZOPUNGUA 15.

UNAWEZA KUJIFUNZA DUA PIA KUPITIA KALAMU HII NA INAPATIKANA SASA KWA BEI NZURI HAKIKISHA UNAYO MOJA NYUMBANI KWAKO.
NDANI UTAPATA VITU VIFUATAVYO.
MSAHAFU
JUZUU
KALAMU
VITABU-5
CHAJA
EARPHONE Read more

Specs

Brands Other
Display Size (Inch) Length: 5 to 7 inches (12.7 to 17.78 cm) Diameter: 0.5 to 0.75 inches (1.27 to 1.9 cm)
Storage (GB) 8GB
Battery (mAh) 5hrs

Description

JIPATIE MSAHAFU HUU WA KALAMU UNAOWEZA KUKUSAIDIA WEWE NA WATOTO NYUMBANI KWAKO KUJUA NA KUSOMA QURAN BILA MATATIZO YOYOTE.

UNAPOGUSISHA KALAMU INAUWEZO WA KUSOMA AYA BAADA AYA ,HERUFI NA HERUFI VILEVILE KUTAFSIRI KWA LUGHA ZISIZOPUNGUA 15.

UNAWEZA KUJIFUNZA DUA PIA KUPITIA KALAMU HII NA INAPATIKANA SASA KWA BEI NZURI HAKIKISHA UNAYO MOJA NYUMBANI KWAKO.
NDANI UTAPATA VITU VIFUATAVYO.
MSAHAFU
JUZUU
KALAMU
VITABU-5
CHAJA
EARPHONE

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account