Cctv camera hii ni ya siri. Tuna maanisha ukiitazama ikiwa imefungwa ktk eneo husika hautoweza kuitambua kuwa ni cctv camera. Hii inasaidia wahalifu kutojua ni sehemu gani zilipofungwa camera kwa sababu wahalifu wengi wana tabia ya kukwepa camera.
Nauza shamba la eka 20 Kiwangwa Bagamoyo lipo umbali wa kilometa 5 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa laki 700,000/= kwa mawasiliaono zaidi Piga No..Whatsapp&Call...0659628665/=0625929692/=
Nauza shamba la eka 200 Kiwangwa Shamba la eka 100 linauzwa kwakila eka 1 laki 500,000/= shamba linaumbali wa kilometa 6 kutoka barabara kuu ya lami Shamba hili lipo kata ya kiwangwa kijiji cha Mwetemo wilaya ya bagamoyo Kwa mawasiliano zaidi piga no.. 0659628665/= + 0625929692/=
Nauza shamba la eka 70 Kiwangwa Shamba la eka 70 linauzwa kwakila eka 1 laki 500,000/= shamba linaumbali wa kilometa 6 kutoka barabara kuu ya lami Shamba hili lipo kata ya kiwangwa kijiji cha bago wilaya ya bagamoyo Kwa mawasiliano zaidi piga no.. 0659628665/=
Nauza shamba Mwetemo lenye ukubwa wa heka 25 lipo umbali wa kilometa 6 kutoka barabara kuu ya lami kila heka moja inauzwa laki 400,000/= mawasiliano zaidi call & whatspp..0659628665/= kalibu sana uje uwekeze??
Nauza shamba Mwetemo lenye heka 30 lipo umbali wa kilometa 6 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa laki 500,000/= kwa mawasiliano zaidi Pga no..0659628665/=
Nauza shamba Mwetemo lenye ukubwa wa eka 50 lipo umbali wa kilometa 7 kutoka barabara kuu ya lami kila eka moja inauzwa lak 5 kwa mawasiliano zaidi piga no..0659628665/=