EQ ya kitaalamu (professional) kutoka Behringer, model FBQ3102. Ina FBQ feedback detection system kwa kudhibiti mirindimo. Sauti safi, stable na rahisi kuset. Bei: 250,000/= Mahali: Dar es Salaam Simu: 0713533662
Kitasa hiki kinatumika katika milango ya mageti na chuma...kinafunguka kwa njia ya Password,card,app yake ktk simu,Funguo au Fingerprint. Utakipata kwetu GORDON TECHNOLOGY. Tunauza na kufunga vitasa hivi nchi nzima(Tanzania). Wasiliana Nasi.