DJi mini 3 drone Mpya kabisa Inakuja na Landing Pad Screwdriver Propellers extra Propeller guard Travel bag Rc controller USBS Na box lake Mpya kabisaaa 1.5Million 0745, 707496
Kifaa hiki huwezesha cctv camera zako ziendelee ku rekodi matukio hata kama umeme umekatika. Umeme ukikatika automatically kifaa hiki kitajiwasha na hata umeme ukirudi basi automatically kifaa hiki kitajizima ili umeme uendelee kufanya kazi.